IQNA – Mtaalamu na msomaji maarufu wa Qur’ani wa Iran amemuelezea Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kama kielelezo cha maisha ya Qur’ani katika zama zetu za kisasa.
Habari ID: 3482513 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/20
IQNA – Katika Khitma ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, iliyofanyika katika Haramu Tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, Qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Ahmad Abolqassemi, aliongoza usomaji wa aya za 64 hadi 71 za Surah An-Nisa pamoja na Surah Al-Fatiha.
Habari ID: 3482511 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19
IQNA – Msomaji mahiri wa Qur’ani na jaji wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani kutoka Yemen amesema kuwa yeyote anayetafakari mafunzo ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, atatambua kuwa aliishi maisha yake yote ndani ya ulinzi na mwongozo wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3482504 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/18
IQNA – Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kiislamu ametaja “kuishi na Qur’ani Tukufu” kama takwa kuu la Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyid Ali Khamenei, kwa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3482459 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/08
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Yemen amesema kuwa fikra za kuleta umoja za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ndizo zilijenga nguzo kuu ya kuanzishwa kwa “Mhimili wa Muqawama au Mapambano” (Axis of Resistance).
Habari ID: 3482435 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03
IQNA – Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, hakuwa tu mwanasiasa na mtaalamu mashuhuri, bali pia alikuwa kielelezo cha kanuni ya kiroho, kulingana na mwanafalsafa maarufu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3482432 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03
IQNA – Katibu wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi na Kuaga kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza maelezo mapya kuhusu shughuli zilizopangwa kufanyika nchini Iraq.
Habari ID: 3482424 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/01
IQNA – Msafara wa mazishi ya Kiongoz Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei utafanyika mjini Tehran siku ya Jumamosi na Jumapili.
Habari ID: 3482411 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/28
IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mkataba wa Maelewano (MoU) wa kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran haukuwa matokeo ya shinikizo au kulazimishwa, bali ni zao la ustahimilivu na nguvu ya taifa shupavu la Iran.
Habari ID: 3482399 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/24
IQNA – Gavana wa mji mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran amesisitiza utayari kamili wa mji huo katika kuandaa shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3482394 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/23
IQNA – Maombolezo ya Muharram kwa ajili ya Imam Hussein (AS) yamefanyika karibu na Husseiniyeh ya Imam Khomeini (RA) jijini Tehran, siku ya Jumapili jioni.
Habari ID: 3482391 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/22
IQNA-Ofisi inayohusika na kuhifadhi na kuchapisha kazi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza ratiba ya hafla za kuaga, mazishi, na kuzikwa kwa Shahidi Ayatullah Imam Sayyid Ali Khamenei ambapo mamilioni wanatarajiwa kushiriki.
Habari ID: 3482354 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/13
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likishirikiana na Jeshi la Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh), limetangaza mfululizo wa operesheni za kijeshi za kulipiza kisasi zilizoratibiwa vyema dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3482349 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/11
IQNA – Msemaji wa Manispaa ya Tehran ametangaza utayari kamili wa manispaa hiyo kwa ajili ya shughuli ya kusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3482342 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/09
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeshambulia kambi mbili za anga za Marekani huko Kuwait na vituo vilivyobaki vya Kikosi cha Tano cha Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Fifth Fleet) huko Bahrain ili kujibu uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani.
Habari ID: 3482327 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/06
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema mahasimu wa Iran wamegeukia mbinu za "vita vya mseto" baada ya kushindwa vibaya mbele ya vikosi vya ulinzi vya nchi hii na kusisitiza kuhusu umoja na umakini wa kitaifa ili kusambaratisha njama za maadui.
Habari ID: 3482322 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/04
IQNA – Misafara ya mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, inatarajiwa kufanyika katika miji mitatu ya Iran, kwa mujibu wa taarifa ya afisa mmoja.
Habari ID: 3482320 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/03
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa
IQNA-Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kimesema kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Israel dhidi ya Iran ni sawa na “kusaidia kambi ya ukafiri dhidi ya ndugu Waislamu” na kwa hivyo ni “haramu kabisa.”
Habari ID: 3482238 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/14
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa Waislamu kusimama kwa umoja katika kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Kiislamu.
Habari ID: 3482224 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/10
IQNA-Klipu ya video cha mkutano wa mwisho wa Kiongozi Shahidi pamoja na jamii ya Qur’ani Tukufu ya Iran, ambao uliandaliwa katika muundo wa mkusanyiko wa ‘Uns na Qur’an’ mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3482214 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/08